Head

Daktari amfanyia Upasuaji Mama kumtoa Mtoto ili kumfanyia upasuaji wa Uvimbe Kisha Kumrudisha tena tumboni

Daktari amfanyia Upasuaji Mama kumtoa Mtoto ili kumfanyia upasuaji wa Uvimbe Kisha Kumrudisha tena tumboni Tukio hili lilitokea nchini Marekani, katika jimbo la Texas, katika hospital ya Texas C…

Daktari Aliyerudi Kutoka Congo Agundulika na Ebola Nchini Ufaransa

Daktari Aliyerudi Kutoka Congo Agundulika na Ebola Nchini Ufaransa Mamlaka za afya nchini Ufaransa zimethibitisha kisa cha Ebola kwa daktari aliyerejea hivi karibuni kutoka katika misheni ya ki…

Apandishwa Cheo kwa Kumnyonyesha Mtoto mwenye tatizo la Utapiamlo

Afisa wa polisi wa Argentina Celeste Ayala alipata kutambuliwa kimataifa baada ya kitendo cha huruma kilichowagusa mamilioni ya watu kote ulimwenguni. Akiwa kazini katika hospitali ya watoto, Ay…

Mapacha Walioungana Kichwani watenganishwa kwa mafanikio KWA MSAADA WA AI

Mapacha Walioungana Kichwani watenganishwa kwa mafanikio KWA MSAADA WA AI Katika mafanikio makubwa ya tiba duniani, mapacha Mercy na Wema kutoka Nigeria waliozaliwa wakiwa wameungana kwenye fuv…

Chanjo ya Kwanza Duniani Iliyobuniwa na AI Yapimwa kwa Binadamu, Je, Itafaulu?

Chanjo ya Kwanza Duniani Iliyobuniwa na AI Yapimwa kwa Binadamu, Je, Itafaulu? Wanasayansi kutoka Chuo Kikuu cha Cambridge nchini Uingereza wameandika historia baada ya kutengeneza chanjo ya kw…

WHO Yaongeza Msaada wa Kudhibiti Ebola DR Congo Huku Changamoto Zikiendelea

Shirika la Afya Duniani (WHO) limeendelea kuimarisha juhudi za kukabiliana na mlipuko wa Ebola aina ya Bundibugyo katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), kwa kuwekeza katika maboresho ya …

Kifo cha mwanamitindo maarufu wa OnlyFans, Christina Ashten Gourkani, mjadala kuhusu usalama wa upasuaji wa urembo umeibuka

Kifo cha mwanamitindo maarufu wa OnlyFans, Christina Ashten Gourkani, mjadala kuhusu usalama wa upasuaji wa urembo umeibuka Baada ya hukumu ya kifungo cha miaka minne kutolewa dhidi ya mwanamke …

Mtoto mwenye Ugonjwa wa Ebola atekwa Nyara DRC

Mtoto mwenye Ugonjwa wa Ebola atekwa Nyara DRC Baada ya kuzuka kwa taarifa za kutekwa nyara kwa mtoto wa miaka sita aliyekuwa akipatiwa matibabu ya Ebola mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya…

MAPACHA WATANO Wazaliwa MUHIMBILI; HOSPITALI kugharamia gharama ZOTE ZA MATIBABU

MAPACHA WATANO Wazaliwa MUHIMBILI; HOSPITALI kugharamia gharama ZOTE ZA MATIBABU Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imeandika historia nyingine baada ya jopo la madaktari bingwa na wataalamu wa …

Mkuu wa WHO Atembelea Uganda Kupambana na Ebola

Mkuu wa WHO Atembelea Uganda Kupambana na Ebola Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus, yuko nchini Uganda kufuatilia juhudi za kudhibiti mlipuko wa Ebola …

Ebola Yaendelea Kusambaa Afrika ya Kati, Visa Vyakaribia 500

Ebola Yaendelea Kusambaa Afrika ya Kati, Visa Vyakaribia 500 Mlipuko wa ugonjwa wa Ebola unaendelea kuleta hofu katika mataifa ya Afrika ya Kati baada ya idadi ya visa vilivyothibitishwa kufiki…

WHO Yaonya,Hofu na Imani Potofu Vinakwamisha Mapambano Dhidi ya Ebola DRC

WHO Yaonya,Hofu na Imani Potofu Vinakwamisha Mapambano Dhidi ya Ebola DRC Shirika la Afya Duniani (WHO) limeeleza kuwa upinzani kutoka kwa baadhi ya jamii nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Cong…

WHO na CDC Afrika Waunganisha Nguvu Kuzuia Kusambaa kwa Ebola

WHO na CDC Afrika Waunganisha Nguvu Kuzuia Kusambaa kwa Ebola Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa kushirikiana na Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa barani Afrika (Africa CDC) wamezindua mpan…

WHO Yaonya: Mlipuko wa Ebola DRC Bado Ni Tishio Kubwa kwa Afrika Mashariki

WHO Yaonya: Mlipuko wa Ebola DRC Bado Ni Tishio Kubwa kwa Afrika Mashariki Shirika la Afya Duniani (WHO) limeeleza wasiwasi wake kuhusu kuendelea kwa mlipuko wa ugonjwa wa Ebola nchini Jamhuri …

Uganda Yathibitisha Kesi Sita Mpya za Ebola, Jumla Yafikia 15

Uganda Yathibitisha Kesi Sita Mpya za Ebola, Jumla Yafikia 15 Wizara ya Afya ya Uganda imethibitisha kesi sita mpya za ugonjwa wa Ebola, na kufanya idadi ya wagonjwa waliothibitishwa kufikia 15…

Mlipuko wa Kipindupindu Waua Zaidi ya Watu 40 Borno, Nigeria

Mlipuko wa Kipindupindu Waua Zaidi ya Watu 40 Borno, Nigeria Jimbo la Borno nchini Nigeria linakabiliwa na mlipuko mkubwa wa ugonjwa wa kipindupindu (cholera) ambao umeua zaidi ya watu 40 na ku…

Uganda yakubali mpango wa Marekani wa kuwaweka Wamarekani karantini kufuatia mlipuko wa Ebola

Uganda yakubali mpango wa Marekani wa kuwaweka Wamarekani karantini kufuatia mlipuko wa Ebola Serikali ya Uganda imethibitisha kuwa imepokea ombi kutoka Marekani la kuanzisha kituo maalumu cha …

Wagonjwa wanaoshukiwa kuwa na ugonjwa hatari wa Ebola Watoroka

Wagonjwa wanaoshukiwa kuwa na ugonjwa hatari wa Ebola wamezua taharuki kubwa nchini Democratic Republic of the Congo baada ya zaidi ya watu 18 waliokuwa wakipatiwa matibabu kutoroka hospitalini …

Zaidi ya visa 900 vinavyoshukiwa ni Ebola vimegundulika DR Congo - WHO

Zaidi ya visa 900 vinavyoshukiwa ni Ebola vimegundulika DR Congo - WHO JChanzo cha picha,AFP Zaidi ya visa 900 vinavyoshukiwa kuwa Ebola, ikiwemo visa 101 vilivyothibitishwa, vimegunduliwa katik…

Aliyekuwa Mke wa Trump,Vanessa Trump agundulika ugonjwa wa Saratani ya Matiti

Aliyekuwa Mke wa Trump,Vanessa Trump agundulika ugonjwa wa Saratani ya Matiti Aliyekuwa mke wa Donald Trump Jr, Vanessa Trump, amethibitisha kuwa amegundulika na ugonjwa wa saratani ya matiti b…

Load More Posts That is All