✍️Author: Dr. Ombeni
🛡️Review: AfyaClass
Hivi Ukiambiwa Dawa hii kunywa Asubuh na jion maana yake,ni muda gani wa kutumia?
Swali hili Naomba kupata Ufafanuzi..
Hivi Ukiambiwa Dawa hii kunywa Asubuh na jion maana yake,ni muda gani wa kutumia?
Swali hili Naomba kupata Ufafanuzi..
Muda Sahihi wa kutumia Dawa ni kama ifuatavyo;
ReplyDelete1.Ukiambiwa Kutwa mara 3
Ni kila baada ya Saa 8 unatumia dawa
2.Kutwa mara 2 ni kila baada ya Saa 12 unatumia dawa
3. Na kutwa mara 1 unatumia kila baada ya Saa 24.
Post a Comment